Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa,
(kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ubia wa ushirikiano
baina ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom na Shirika la Ndege la
FastJet uliofanyika Dar es Salaam, utakaowawezesha wasafiri wa shirika
hilo kuanzia sasa kulipia tiketi za safari zao kwa njia ya M-Pesa.
(Kulia ni Meneja wa Biashara wa FastJet, Jean Uku).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Kwa wale waliokulia maeneo haya, hili ni jambo la kawaida ukitoka mjini, shambani sijui hadi wapi kote ni haya h...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
2 comments:
nimeipenda hiyo ongezeen juhudi katika kuleta maendeleo ya usafirishaji inakua vizuri kutumia M-Pesa kukwepa kutapeliwa
Ahsante
Nice post. I learn something new and challenging on blogs I
stumbleupon on a daily basis. It's always useful to read content from other authors and practice a little something from their sites.
My web page ... how to marketing social media services
Post a Comment