Mwenyekti
wa Asasi ya Siasa,ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiongoza kikao cha asasi hiyo kilichofanyika ikulu jijini Dar
es Salaam leo jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa
Namibia Hifikepunye Pohamba ,Katibu mkuu wa SADC,Dk.Tomaz Salomao,Rais
Armando Guebuza wa Msumbiji,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya
Kusini.Picha na Freddy Maro-IKULU
Comments