Wednesday, January 09, 2013

Dr Ali Shein Azindua Rasmi jengo la Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Digital Rahaleo Mjini Zanzibar

  Jengo hilo la Kisasa lililo na vifaa vya Dijitali litakalo tumiwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC)
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua rasmi jengo la Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Digital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua jengo la Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Digital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo ya matumizi ya vifaa vya Dijital,kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Agape AssociationLTD,Dr Vernon Fernandes,(kulia) baada ya  kufanya uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Dijital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Dk.Anny Fernandes.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza naViongozi,Wananchi na Wafanyakazi wa ZBC,baada ya kufanya Uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Dijital,katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  Baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Agape Association,LTD na wananchi waimsikiliza Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la  BC,wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Kuhama kutoka Teknolojia ya Analojia kwenda Dijital hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika jengo la Studio ya kurikodia Sanaa na Muziki ambalo lilifanyiwa ukarabati na kurejeshwa hadhi yake,hapo Rahaleo Mjini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kuaadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

No comments: