
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi
mbalimbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akiwaelezea masuala
muhimu ya maendeleo nchini.Rais Kikwete amewasili Mjini Singida Januari 5
kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment