
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa 
la KKKT nchini  Dkt Alex Gehaz Malasusa na  Askofu  mpya wa KKKT 
Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo baada ya  sherehe ya  Kusimikwa 
Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida jana

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  kiongozi wa 
kanisa la KKKT nchini  Dkt Alex Gehaz Malasusa baada ya kupokea kamba 
kama ishara ya kupokea zawadi ya ngombe toka kwa Dayosisi  hiyo huku 
 Askofu  mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo akishuhudia 
 katika sherehe ya  Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT 
la Singida jana


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya 
kati Dkt Alex Seif Mkumbo (mwenye fimbo) pamoja na viongozi wa kanisa 
hilo wakiongozwa na Askofu Mkuu Dkt Alex Gehaz Malasusa (kulia kwa 
Rais), Msaidizi mpya wa Dayosisi hiyo Mchungaji Syprian Yohana Hilinti 
(wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Kone na viongozi wengine 
katika sherehe ya Kusimikwa Wakfu Askofu Mkumbo katika kanisa la KKKT la
 Singida jana


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na 
Maaskofu wa Kanisa la KKKT baada ya  sherehe ya  Kusimikwa Wakfu Askofu 
Mkumbo katika kanisa la KKKT la Singida jana

Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa  akisoma ripoti ya mkoa wa Tabora kwa Rais Jakaya Kikwete mara baada ya Rais Jakaya Kikwete 
kuwasili Mkoani Tabora Kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya mkoa wa Tabora toka kwa Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa huo aliyosomewa mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment