Monday, January 28, 2013

Baadhi ya maimam wa mkoa wa Mtwara wakiomba dua kabla ya kikao chao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu Mgogoro wa gesi

Baadhi ya maimam wa mkoa wa Mtwara wakiomba dua kabla  ya kikao chao na Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda kuhusu Mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara Januari 27, 2013.Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

No comments:

SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA UMEME IGUNGA” MHE. SALOME

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imeendelea kuimarisha miundombinu...