
Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi
 wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo.  


Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na 
wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa 
Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni 

 ms3:Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani Kikwete 
kwa  wanakijiji wenzake  wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa 
Pwani, wakati wa sherehe za  kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na 
ngoma za utamaduni

 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa 
heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa 
wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za 
kienyeji. Picha na IKULU
 
 
No comments:
Post a Comment