Shaffih
Dauda akiwa ameambatana kocha wa timu ya Black Leopards ya Afrika
Kusini,Abel Makhubele mara baada ya kuwasili leo mchana kwenye uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K.Nyerere.
Wachezaji wa timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini,wakiingia kwenye basi kubwa la timu ya Yanga,wayatarajia kumenyana nayo…
Comments