Thursday, January 10, 2013

TIGO YAZINDUA HUDUMA YAKE MPYA YA TIGO TIME KWA WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja mbunifu wa ofa za Tigo,Jacqueline Nnunduma akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema jana asubuhi kwenye hoteli ya Serena,kuhusiana na uzinduzi wa huduma yao mpya iitwayo Tigo Time,kushoto ni kwake ni Mwakilishi wa kampuni ya Frontline Portel Novelli Elias Bandeke
Meneja wa Ofa za Tigo,Suleiman Bushagama akitoa ufafanuzi zaidi mbele ya Wanahabari kuhusiana na kampuni hiyo kutambulisha huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Tigo Time, ambayo inatoa punguzo kubwa sana la gharama ya kupiga simu masaa ishirini na nne kwa wiki (24/7 ikitegemeana na muda na wakati wa siku na eneo mteja atakalokuwa.

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...