Wednesday, January 16, 2013

Dk Wilbroad Slaa Azindua Tawi Jipya la CHADEMA Classic lililoko katika kata ya Longuo mjini Moshi


  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akipandisha bendera ya Chama kuashiria uzinduzi wa tawi Jipya la CHADEMA Classic lililoko katika kata ya Longuo mjini Moshi.
 Mwenyekiti wa Baraza kuu la vijana wa Chadema (BAVICHA),John Heche akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Moshi
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akikata utepe wakati akizindua tawi la vijana wa CHADEMA la Aslam Garage mjini Moshi.
 Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema Classic lililopo kata ya Longuo mjini Moshi.
Diwani wa viti maalum,Hawa Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana wa Chadema katika eneo la Aslam Garage mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...