Friday, January 11, 2013

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege nchini (ATCL), Kapteni Milton Lazaro Akipena Mkono na mwakilishi Kampuni ya Al Hayat nchini Tanzania ambayo Ndio Wawekezaji Wapya ATCL


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege nchini (ATCL), Kapteni Milton Lazaro (wa pili kushoto), akipeana mkono na Al Sayyid Fahar Bin Taimur ambaye ni mwakilishi Kampuni ya Al Hayat nchini Tanzania. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo Shekhe Salim Al Harthy na kulia ni Bw. Saeed Bawaziri. Ujumbe huo ulitembelea Ofisi za ATCL kujionea utendaji kazi wao wakati hatua za kufanikisha uwekezaji katika shirika hilo zikiendelea.Na Mpiga picha wetu

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...