Rais Jakaya kikwete akijadiliana jambo
na Mwanamuziki Mkongwe kutoka Bendi ya Kilimanjaro Band Wana Njenje Bw
Waziri Ally Muda mfupi baada ya ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa
dansi pamoja na filamu kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam leo
Mr Waziri Ally kutoka bendi ya
kilimanjaro Band wana Njenje akitoa salaam za shukrani na pongezi kwa
niamba ya ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na
filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam leo
Rais jakaya kikwete akimshukuru Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Dansi nchini King Kiki
Picha
juu Rais jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa
wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaaam leo
--
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba
21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja
na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaaam kwa kuwajali wasanii
wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii
ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu.Picha na IKULU
Comments