Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa 
Upizani Bungeni, Freeman Mbowe katika mazishi ya Kisa Gwalugano 
Mohamed,Mke wa  Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye 
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012.(Pich na Ofisi 
ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Makamu wa Kwanza wa Rais wa 
Zanzibar, Seif Sharif Hamad katika mazishi ya Kisa Gwalugano hamad, Mke 
wa Mbunge wa Wawi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es 
salaam Novemba 29,2012. Kusshoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed 
Salim na Wapili kulia ni Waziri  wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu, William 
Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
  Mkuu, Mizengo pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF,Ibrahim Lipumba 
katika mazishi ya Kisa Gwalugano Hamad , mke wa mbunge wa Wawi, Hamad 
Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam 
Novemba 29,2012.Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim, Wanne
 kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif hamad Watatu
 kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu William Lukuvi na kulia 
ni Kiongozi wa UpinzaniBungeni, Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri
 Mkuu)
Waziri
 Mkuu,Mizengo Pinda akiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa  na 
serikali katika mazishi ya Kisa Gwalugano Mohamed, mke wa Mbunge wa 
Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es
 salaam Novemba  29,2012. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UDP, John 
Cheyo,Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Waziri Mkuu Mstaafu, 
Salim Ahmed Salim, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif 
Hamad, Waziri wa Nchi Ofisi yaWaziri Mkuu, William Lukuvi na Mwenyekiti 
wa Chadema, Freeman Mbowe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waombolezaji
 wa wakiuzika mwili wa marehemu Kisa Gwalugano Mohamed yaliyofanyika 
kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam, Novemba 29,2012
Waziri
 Mkuu Mizengo Pinda  na viongozi wa vyama vya siasa  na serikali 
wakimfariji, Mbunge wa Wawi, Hamd Rashid (wapili kulia) katika mazishi 
ya mkewe, Kisa Gwalugano Mohamed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu
 jijini Dar es salaam, Novemba 29,2012. Kushoto ni mwenyekiti wa CUF, 
Profes Ibrahim Lipumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






 
 
No comments:
Post a Comment