Rais Kikwete Atunuku Nishani 40, Sherehe za miaka 51 ya Uhuru


 Bi. Kidude akiveshwa nishani na Rais Jakaya Kikwete Ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchana ametunuku  nishani kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis (Bi.Kidude). Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi wa umma na askari Jeshi na Polisi.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani
Rais jakaya Kikwete akimvisha nishani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ikulu Jijini Dar es

Comments

emu-three said…
Twawapa hongera sana