Wednesday, December 05, 2012

Wahariri watembelea Mradi wa Nyumba za Gharama Nafuu NHC Kibada LEO

 Jopo la waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchi wakiingia kwenye mojawapo wa nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada kujionea namna zinavyoendelea kujengwa.
Baadhi ya nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada zikendelea kujengwa.
 Wahariri wakishuhudia namna nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada zikiendelea kujengwa.
 Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mikoa na Utawala (DROA) wa NHC, Raymond Mndolwa akiwapa maelekezo Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari nchini namna nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada zinavyojengwa.
Mkandarasi wa Mradi wa nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini namna nyumba za Kibada zinavyoendelea kujengwa.
 Mkandarasi wa Mradi wa nyumba za gharama nafuu za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kibada akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini namna nyumba za Kibada zinavyoendelea kujengwa.
Safari ya Kibada ikiendelea. PICHA ZOTE ZA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...