Issa Kwisa Mwaifuge, akiwa na mkewe Binti mrembo aliyewahi kushiriki shindano kubwa
la Miss Tanzania, 2004, Verdiana Kamugisha, ambao kwa pamoja wameamua
kumeremeta siku ya jana na kufunga ndoa yao katika Kanisa la Lutheran
lililopo Sinza jijini Dar es Salaam. Na hapa ni wakati wakiwa
katika sherehe ya ndoa yao inayoendelea muda huu katika Ukumbi wa
Msasani Makuni. Picha Zote na www.sufianimafoto.blogspot.com
Bwana Harusi, Issa Kwisa (kushoto) akisebeneka na Suleiman Semunyu, aliyekuwa akipokea zawadi ya keki kwa niaba ya ITV.
Comments