Monday, December 31, 2012

Rais Jakaya Kikwete atangaza matokeo ya sensa,Watanzania waongezeka kutoka watu 34.4 milioni hadi 44.9


Rais Jakaya Kikwete atangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi, Watanzania waongezeka kutoka watu milioni 34.4 hadi kufikia watu milioni 44.9. Tanzania bara kuna watu 43.6 milioni na Zanzibar watu 1.3milioni.Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye.

No comments:

Zoezi la Uhakiki Malipo ya Mbolea za Ruzuku kwa Wakulima wa Tumbaku Tabora larizisha

Katika kuhakikisha wakulima wa tumbaku wanapata ruzuku za mbolea Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. J...