Pichani Juu na Chini ni
Mstahiki Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la mboto, Jerry Silaa
akiwa na baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wakifanya kazi ya usafi katika
eneo la Stendi ya Mabasi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuhimiza usafi na
kuhifadhi mazingira katika jiji la Dar es Salaam iliyozinduliwa na
makamu wa Rais mwanzoni mwa mwezi huu.
Mstahiki
Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la mboto,Jerry Silaa
akizungumza na baadhi ya wakazi wa Kata hiyo wakati wa kufanya usafi
katika eneo la Stendi ya Mabasi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuhimiza
usafi na kuhifadhi mazingira katika jiji la Dar es Salaam iliyozinduliwa
na makamu wa Rais mwanzoni mwa mwezi huu.
Comments