Pichani Juu na Chini Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya
kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw.
Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya Shirika la Bima la Taifa
toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake Bw. Justine Mwandu Ikulu
jijini Dar es salaam. Shirika hilo ambalo limefufuka upya na
linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiushukuru uongozi wa Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati
ya bima yake ya maisha Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na IKULU).
Comments