Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa waliyoyafanya mapema leo kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!
Wakazi hao wakiwa na mabango yao yenye jumbe mbalimbali kama uonavyo pichani
Waandamanaji wakiwa wamekusanyika kwenye moja ya uwanja mjni Mtwara mapema leo wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!
Mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara mjini akiwa amebeba bango lake
Baadhi
ya askari wakiwa kwenye gari yao wakiangalia usalama wa hapa na pale
kufuati maandamano makubwa yalliyofanya na wakazi wa Mkoa wa Mtwara,
mapema leo wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!
Comments