KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto)
akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko
ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma,
katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Mkurugenzi wa
Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi.
KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto)Wakisaini hati za makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko
ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma,
katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Mkurugenzi wa
Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi.Picha na Bashir Nkoromo
Comments