Kiongozi Mtukufu Aga Khan ambaye ndiye
Mwenyekiti wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) na Kiongozi wa
Waislamu wa Ismailia akizungumza mawili matatu ya kimaendeleo na Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mh. Shy-Rose Bhanji wakati
wa ufunguzi wa Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mkoni Arusha.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Kidiplomasia ya AKDN Dkt.
Shafik Sachedina. ( Picha zote kwa Hisani ya Ikulu).
Comments