Brigitte
Alfred Redds Miss Tanzania 2012 akiangalia faili lenye nyaraka muhimu
za zawadi yake ya Gari baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari yake leo hii
tarehe 10 Desemba 2012 na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw.
Bosco Majaliwa. katika ofisi ya Lino International Agency Limited
zilizopo Mikocheni jijini D’salaam.
Gari la Miss Tanzania aina ya Noah
Redds
Miss Tanzania 2012 akifurahia zawadi yake ya gari mara baada ya
kukabidhiwa katika ofisi za Lino International Agency Mikocheni jijini
leo.
Comments