Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. 
Terezya Huvisa akiwaonyesha cheti cha Ukaguzi wa Mazingira ambacho 
hupatiwa Wamiliki wa Mahoteli na viwanda. Waziri Huvisa alikuwa 
akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli jijini 
Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Cherles Kikwanga akitoa
 Ufafanuzi wa jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kulia ni 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt.Terezya Huvisa 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais 
Mazingira Dk Terezya 
Huvisa akitoa Ufafanuzi wa Vibali vya Mazingira kwa Mwandishi wa Gazeti 
la Jambo Leo Bw. Peter Ambilikile wakati wa Mkutano na Waandishi wa 
Habari leo Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli Mijni Dar es Salaam.Picha 
na Ali Meja-Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira
 
 
No comments:
Post a Comment