SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

 
 Aneth Kushaba AK 47 na mmoja wa fans wake Eshe Mushi katika pozi.
 
 Mdau akisema hapo vipi, Safi sana, huku mkononi akiwa na kinywaji chake baridi.
 
  Mdau
 
Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Kionjo kipya cha Juma lililopita mrembo Doris (kushoto) pamoja Mary Lukas wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mary Lukas (katikati) sambamba na kionjo kipya cha SKYLIGHT Band Mrembo Doris (kushoto) pamoja na Aneth Kushaba AK47 wakitoa buradani katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kila Ijumaa SKYLIGHT BAND itakuwa na watu wapya wakuimba nao jukwaani na hii yote ni kuleta raha kwa mashabiki wao.
Vijana wa SKYLIGHT BAND wakiongozwa na rappa SONY MASAMBA wakikamua jukwaani.
Joniko Flower akiporomosha mistari sambamba na SONY MASAMBA.
SKYLIGHT BAND ilipata ugeni wa heshima kabisa uliofika katika kiota cha Thai Village kuja kuona vipaji vya bendi hiyo. Ni Mh. January Makamba na maifu wake pamoja na mdau King Kif.
Mdau Maurice (wa pili kulia) akiwa na mabesti zake wakila bata na SKYLIGHT BAND.
Models katika pozi.
Blogger King Kif na Wadau.
Mdau Eric Ndalu (katikati) akiwa kwenye pozi na Wadau nambari 1 wa Bendi ya SKYLIGHT.
DJ Venture ndani ya nyumba.
Mdau Paul Mashauri(kushoto) na David Kimani (kulia) wakishow love.
Pichani Juu na Chini ni Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakizungusha mduara na nyonga.

Mduara umekolea hapo sasa. wa mbele aende mbele wa nyuma arudi nyuma......
 
Kubwa kuliko ni tukio la kukabidhiwa basi la Band ambapo ilikuwa ni Surprise kwa Bendi hiyo huku likiwa limenakishiwa na picha zao. Pichani ni Meneja wa Bendi hiyo Aneth Kushaba AK 47 akipokea ufunguo wa gari hilo kwa niaba ya bendi kutoka kwa Mkurugenzi wa Bendi hiyo The Don Dkt. Sebastian Ndege. Kulia ni mdau akiwa kama shahidi wakati wa makabidhiano hayo.

Comments