Mbunge
wa viti maalum bi Catherine Magige akisomama taarifa ya Foundation yake
ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria
uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo
Asubuhi
Mbunge wa viti maalum, Catherine Magige (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ohn Mongela na wageni wengine meza kuu.
Mbunge wa viti maalum, Catherine Magige wakiwa wanawakabidhi zawadi ya
baiskeli walemavu watatu kwa niaaba ya walemavu 20
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akifanya mahojiano na vyombo vya
habari mara baada ya kukamilika zoezi hilo. Picha na Mahmoud Ahma.
Comments