
Sam
 Machozi a..k.a Sam Mapenzi akiongozaji waimbaji wenzake Aneth Kushaba 
(kushoto) sambamba na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake Ijumaa 
ya mwisho kwa mwaka 2012 katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar
 es Salaam. (Picha na Mo Blog).
Sura
 mpya ya SKYLIGHT Band ikifanya yake Jukwaani katika show ya mwisho ya 
Band hiyo kwa Mwaka 2012 iliyofanyika Ijumaa ya tarehe 28 mwezi huu 
katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam. Si mwingine 
ni Binti mdogo mwenye kipaji cha aina yake mshindi wa pili katika 
shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 Salma Yusuf sambamba na Meneja 
wa Band hiyo Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo.
Chezea
 Salma Yusuf wewe ulizoe kumuona kwenye TV wakati wa EBSS 2012 njoo 
umuone Live Ijumaa akitambulishwa rasmi kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Vijana Watanashati wakipata Ukodak…Single Ladies mpooooo??? Kazi kwenu.
SKYLIGHT
 BAND ilipata ugeni kutoka The B Band ya Banana Zorro. Pichani ni Aneth 
Kushaba AK 47 akishow love na baadhi ya wasanii wa The B BAND.
Mdau King Kif akishow Love na Aunty Ezekiel a.k.a Mrs. Demonte pamoja na rafiki yake katika usiku wa SKYLIGHT BAND.
Kati ya Vijana hawa wawili walikuwa wakisheherekea siku yao ya kuzaliwa ndani ya Kiota cha Thai Village na SKYLIGHT BAND.
 
 Wadau wakishow Love.







 
 
No comments:
Post a Comment