POLE BABA: Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akmjulia hali jana jioni, Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda
ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Moi,
Dar es Salaam. Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa
upasuaji kutokana na tatizo la nyonga. Kulia kwa waziri mkuu ni Muguzi
wa zamu, Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila Kwelukila
ambaye ni Ofisa uguzi chumba cha wagonjwa mahututi MOI, (Picha na Chris
Mfinanga)
Comments