Wednesday, December 05, 2012

MSHINDI WA MAISHA PLUS AKABIDHIWA KITITA CHAKE


Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu,  Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3  Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake  Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo  wakifuatilia kwa makini


Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro

No comments:

MHE. NDEJEMBI AITAKA PURA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA KUSHIRIKI MRADI WA LNG

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimar...