Sunday, February 07, 2010

Kilio tupu Kipawa





Mwenyekiti wa wakazi wa Kipawa jijini Dar es Salaam jana,Magnus Mulisa akimfariji mdogo wake Grace Bakuza baada ya nyumba zao kubomolewa jana,kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.Picha na Zacharia Osanga






Msichana mkazi wa Kipawa jijini Dar es Salaam, ambaye jina lake halikuweza kufahamika maramoja akiwa amejiinamia kwenye godoro,baada ya nyumba yao kubomolewa jana ikiwa ni kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.Picha ndogo kulia ni Mwenyekiti wa wakazi wa Kata hiyo Magnus Mulisa.Picha na Zacharia Osanga

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...