Ngoma ya mganda Posted by Vempin Media Tanzania on February 25, 2010 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwalimu wa Sanaa katika shule ya Sekondari Makongo, Simon Mwaikono akiwaongoza wanafunzi wa shule hiyo kucheza ngoma ya mganda yenye asili ya Manda mkani Ruvuma wakati wa mahafali ya 11 ya kidato cha sita shuleni hapo. Picha na Michael Matemanga Comments Anonymous said… Manda ni mkoani Iringa Wilaya ya Ludewa
Comments