Friday, February 05, 2010

Umuhimu wa mambloga waanza kujionyesha Bongo


Wanalibeneke na vyeti vyao vya shukurani toka Serengeti ambao kwa mara ya kwanza wameonesha mfano wa kutambua umuhimu wa globu na kuwaenzi waendeshaji wake. Toka shoto ni Ankal wa Globu ya Jamii, John Bukuku wa Fullshangwe.blogspot, Geofrey Mwakibete wa Mohammeddewji.com, Muhidin Sufiani wa Sufianimafoto.blogspot.com na Michuzijunior wa Jiachie. Picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...