Thursday, February 04, 2010

Mambo ya Pwani




Wafanyabiashara wa samaki katika eneo la Pwani ya bahari ya Hindi mkoani Mtwara wakichuuza samaki wao hivi karibuni. Picha zimepigwa na Mussa Mkama na Hidaya Kivatwa.

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...