Sunday, February 07, 2010

Aliyeongoza kidato cha nne


Mwanafunzi wa St Marian iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani, Immaculate Mosha aliyeibuka mshindi wa kwanza wa kidato cha nne mwaka huu, mwenye blauzi ya rangi ya khaki kwa mbali kama nyeupe, akifurahia ushindi wake na ndugu zake nyumbani kwa kaka yake Mwenge, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Salhim Shao.

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...