Thursday, February 04, 2010

Jeshi si mchezo


Mkuu wa kikosi cha JKT Mlale Meja Ahmed Ahmed akimtambulisha mkuu wa gwaride la wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi operesheni kilimo kwanza Meja Ally Aniu kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk Christine Ishengoma mara baada ya kumaliza kukagua gwaride hilo jana chini ni wahitimu wa mafunzo hayo. Imeandikwa na Joyce Joliga.

No comments:

BRELA: VIJANA RASIMISHENI VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA KIUCHUMI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vi...