Thursday, February 25, 2010

Rais arejea home



Rais Kikwete akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kuwasili kutoka nje ya nchi ambapo alikuwa katika ziara ya kikazi. Mwingine katika Picha ni Kingunge Ngombale Mwiru.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO.

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...