Maonyesho ya vita vya majimaji



Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein kushoto na ujumbe wake, wakiangalia sehemu iliyotumika kunyongewa Machifu wa mji wa Songea katika karne ya 19, wakati walipotembelea kwenye maonesho ya kumbukumbu ya Vita vya Majimaji yanayofanyika kila Mwaka Mkoani Ruvuma juzi.

Comments