Sunday, February 14, 2010

CCM Mambo mazito


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiwa wamesimama kumkumbuka Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu hayati, Rashidi Kawawa kabla ya kuanza kwa mkutano wao Mjini Dodoma Februari 14, 2010. Kulia ni Makamu wa Rais, Dk. Ali MohamedShein na wapili kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mawaziri Wakuu Wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto ) na Edward Lowassa , wakiteta kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma , Februari 14, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Spika wa Bunge, Samuel Sitta (kulia) akisalimiana na wajumbe wenzake ambao pia ni Mawaziri Wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto) na Edward Lowassa (katikati) kablaya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mjini Dodoma Februari 14, 2010..(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

HAWA JAMAA WATAKAPOKUFA SIJUI HISTORIA ITAWAKUMBUKAJE...AIBU TUPU!!!! YAANI AKINA LOWASSA WANAKENUA MENO TU UTAFIKIRI KWAMBA HAWATAKUFA NA KUYAACHA HAYO MABILIONI WALIYOWAIBIA MASIKINI WATANZANIA...PENGINE WATAOMBA WAZIKWE NAYO KAMA WALIVYOKUWA WANAFANYA MAFARAO WA MISRI ENZI ZILE. BASI WAZIKWE NAYO ILI WANYONGE TUKAFUKUE HAYO MAKABURI YAO ILI KUOPOA KILICHO CHETU!!!!!!!!!!