Sunday, February 07, 2010

Wiki ya saratani


Meneja huduma ya uuguzi wa Hospitali ya Mission Mikocheni ya jijini Dar es Salaam Valentina Msechu akimuelekeza Lidia Kijoza jinsi ya kujipima mwenyewe saratani ya matiti, hiyo inafanyika ikiwa ni katika wiki ya saratani iliyoanza kuadhimishwa wiki iliyopita. Picha na Mussa Mkama

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...