Wanafunzi nao wamo ktk burudani!!!





Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Neema Trust iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam,wakitumbuiza wageni waalikwa waliohudhuria mahafari ya pili ya kidato cha sita shuleni hapo jijini Dar es Salaam juzi.Picha na Venance Nestory

Comments