Monday, January 04, 2016

DG WA PSPF AMTEMBELEA SPIKA OFISINI KWAKE KWA ZIARA YA KIKAZI

SP2Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam Mayingu aliyemtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.
SP4Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa na Mkurugenzi mkuu wa PSPF Adam Mayingu alipomtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Januari, 2014.
(Picha na Ofisi ya Bunge)

Post a Comment