Sunday, February 08, 2015

Yanga yaichapa Mtibwa 2-0

Mrisho Ngassa.
TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.

No comments:

RC CHALAMILA AELEKEZA KUUNDWA KAMATI MAALUM KUTATUA MGOGORO WA ARDHI SAHARA-MABIBO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila ameelekeza kuudwa kwa kamati maalum itakayofanyakazi kwa muda wa siku tatu kuanzia julai ...