Thursday, February 25, 2010

Ngoma ya mganda

Mwalimu wa Sanaa katika shule ya Sekondari Makongo, Simon Mwaikono akiwaongoza wanafunzi wa shule hiyo kucheza ngoma ya mganda yenye asili ya Manda mkani Ruvuma wakati wa mahafali ya 11 ya kidato cha sita shuleni hapo. Picha na Michael Matemanga

1 comment:

Anonymous said...

Manda ni mkoani Iringa Wilaya ya Ludewa

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...