Mwanza tambarare


Mambo ya Mwanza si mchezo sasa kuna majengo makali ile mbaya yanayolifanya jiji la Mwanza kubadilisha sura hili jengo limejengwa kwa ushirikiano na Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF)

Comments

Anonymous said…
Kaka Charahani, nadhani Mwanza huijui vizuri waulize wa mwanza wakuelekeze kuhusu hilo jengo. Kwa kumbukumbu zangu hilo ni jengo chini ya PPF pia kuna jingine la NSSF.
sawa ndugu yangu ni kweli mwanza siijui nashukuru kwa kunielimisha.