Monday, June 09, 2008

Mambo ya Cape Verde







Ndani na nje ya uwanja wa taifa wa Cape Verde mambo yalikuwa hivi hebu chei huyu dada alivyovaa kitaiti ndiyo maana inawezekana timu yetu ya taifa ilifungwa kwasababu ya mvuto wa hawa mabinti, hebu cheki hapo beach wadada walivyojimwaya kisha ucheki uwanjani ndani na timu zote mbili yaani Taifa Starrs na ile ya Cape Verde. Picha za Saleh Ally.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...