Sunday, June 01, 2008

Mkutano wa Sullivan






Washiriki wa Mkutano wa Sullivan wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kuwasili tayali kwa mkutano utakaoanza kesho , picha nyingine ni ya Co-chairman of The Leon Sullivan Foundation, Ambassador Andrew Young akijibu maswali kutoka kwa mwandishi wa habari wa hapa nchini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro akitokea marekani kwaajili ya mkutano wa Sullivan utakaoanza jumatatu. Picha na Edwin Mjwahuzi na Athumani Hamisi

1 comment:

Anonymous said...

karibu wageni,bora serikali ilivyoshtuka mapema na watani wa jadi kenya maana wangetuzidi ujanja,bora wamekuja na ethiopia airline.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BELARUS AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

  Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Belarus, Mheshimiwa Maxim Ryzhenkov, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili...