Sunday, June 15, 2008

Mwanza tambarare


Mambo ya Mwanza si mchezo sasa kuna majengo makali ile mbaya yanayolifanya jiji la Mwanza kubadilisha sura hili jengo limejengwa kwa ushirikiano na Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF)

2 comments:

Anonymous said...

Kaka Charahani, nadhani Mwanza huijui vizuri waulize wa mwanza wakuelekeze kuhusu hilo jengo. Kwa kumbukumbu zangu hilo ni jengo chini ya PPF pia kuna jingine la NSSF.

ARAWAY Media Tanzania said...

sawa ndugu yangu ni kweli mwanza siijui nashukuru kwa kunielimisha.

Kamati ya Ukaguzi TARURA yakagua Miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Barabara mkoani Singinda

#Kukamilika kwa daraja wilayani Manyoni kusaidia usafirishaji wa Samaki na Chumvi Singida Kamati ya Ukaguzi ya Wakala ya Barabara za Vijijin...