mkutano wa Sullivan wafungwa


Mke wa Co-Chairman of Leon H. Sullivan, Ambassador Andrew Young, Carolyn
akiwa kava kofia yenye mchoro na maandishi yam lima Kilimanja jana wakati
alipokuwa kitembelea mabanda ya maonyesho ya Sullivan. Picha na Edwin
Mjwahuzi


rais wa zanzibar mh. amani karume akifunga rasmi mkutano wa siku nne wa sullivan hoteli ya ngurdoto mountain usiku huu, na kuwakaribisha wageni toka marekani visiwani leo ijumaa kwa hafla maalumu ambayo amewaandalia kwenye hoteli ya zamani kempinski.

Comments

Anonymous said…
bravo kwa wote waliofanikisha mkutano hawa jamaa waliopamba si mchezo,naamini wageni wamejionea kwamba afrika ni kiboko na tuna vitu vizuri, nina uhakika wanapeleka habari kwa jamaa zao huko.JK umeitangaza Tanzania kuliko maraisi wote waliopita kuhusu sekta ya utalii na michezo inafuata pia, iwe changamorto kwa sekta zingine pia madini, miundo mbinu n.k.kwa hilo hongera sana JK. usisahau kushughulikia mafisadi mkuu.
Ms Bennett