Chriss Tucker



Picha ya kwanza ni mcheza filamu maarufu wa nchini Marekani, Chris tucker
akiwa na mjumbe wa bodi ya Ngorongoro, Irvis Musiba wakitama wanyama aina ya
viboko waliopo katika bwawa ndani ya creta ya ngorongoro juzi. Picha na Mussa Juma.

Comments