Usafiri kafiri



Huyu trafiki anaitwa Kimti ni askari machachari sana, jamaa wa daladala wanadai akikunyaka huyu lazima ukome kuringa hebu cheki hapa anafanya nini kado ya hii daladala. Picha na Deus Mhagale

Comments